Mtu yeyote anaweza kupata kifafa, katika umri wowote:
- changamoto wakati mama anapojifungua kutopata elimu/huduma vizuri, mfano ukosefu wa hewa (mtoto kuchelewa kulia), hypoglycemia (kiwango cha sukari kuwa chini kwa mtoto);
- kutokana na baadhi ya vimelea (Wadudu) kama vile Malaria na “Neurocysticercosis” (Minyoo itokanayo na nyama ya nguruwe isiyoiva vizuri);
- vinasaba (kurithi);
- ajali (majeraha kichwani);
- matatizo yatokanayo na kiharusi;
- uvimbe kwenye ubongo;
- sababu isiyojulikana